technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Serikali naomba iweke utaratibu wa kuwagawia condom.
Vijana wa kike na wa kiume kuanzia shuleni kama wanavyofanya kuwapa pedi.
Maana hali ni tete jinsi wanavyoshiriki ngono zembe
Hasa kipindi cha likizo,sikukuu na mvua kiukweli hali ni tete sana
Niko mkoani niliyoyaona hali ni tete sana tunatengeneza taifa la wagonjwa wa ukimwi! ni majonzi.