Fikiria mara mbili mkuu,
ukiwapa condom ni sawasawa na kuwapa ruhusa kitakachotokea ni mara mbili yake, hapo tafuta suruhisho jingine,
Ila Dawa kubwa ni jinsi unavyomlea mwanao,
Binafsi naona fahari jinsi wazazi wangu walivyonilea,
Sikuwahi kufikiria huu ujinga, nilijua nini nilifuata shule, ni elimu tu,
Na Mpaka leo hii, sijabadirika,
Kumbuka mtoto anapozaliwa Ni sawasawa na shamba ambalo halijalimwa, ila chochote utakacho panda ndicho kitakachoota, ukipanda mema lazima yaote mema, lazima,
Malezi ni kitu cha muhimu sana toka mtoto anapozaliwa.