Ukimya huu siyo wa kawaida

Ukimya huu siyo wa kawaida

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Si kawaida yangu.

Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya.

Ukimya huu wa jumla umenishangaza sana.

Ukimya huu si wa kawaida.
 
Heshima yako Mkuu naomba kufafanuliwa zaidi ukimya juu ya Nini Mzee wetu?
 
Ukimya uliozidi ni busara kuu Mohamed Said
Makuku...
Hakika kuna msemo, "Silence is golden because it can never be repeated."
Ninachojiuliza ni kipi kilichosababisha ukimya huu unaopiga kelele?

Sababu huondoa ajabu.
Mimi nataka kufahamu sababu ya ukimya huu.
 
Si kawaida yangu.

Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya.

Ukimya huu wa jumla umenishangaza sana.

Ukimya huu si wa kawaida.

Pole sana mzee,wafadhili sikuhizi hawakuletei pesa za kueneza propaganda na kuleta utengano baina ya watanzania kisa imani yako ya kidini. Bado hujasema
 
Back
Top Bottom