Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Heshima yako Mkuu naomba kufafanuliwa zaidi ukimya juu ya Nini Mzee wetu?Si kawaida yangu.
Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya.
Ukimya huu wa jumla umenishangaza sana.
Ukimya huu si wa kawaida.
Possibly ujumbe lengo halikuwa uje huku inaonekana mzee alikuwa anatuma ujumbe kwenye group fulani ambalo yeye ni member so akachanganya mafail.Heshima yako Mkuu naomba kufafanuliwa zaidi ukimya juu ya Nini Mzee wetu?
Makuku...Ukimya uliozidi ni busara kuu Mohamed Said
Mpango upi mbona siku nyingi hutuuoni mpango wowote. Tuhitaji kuelewa mpango upiHeshima yako Mkuu naomba kufafanuliwa zaidi ukimya juu ya Nini Mzee wetu?
Possible maana Mzee wetu sio wa kukurupukaPossibly ujumbe lengo halikuwa uje huku inaonekana mzee alikuwa anatuma ujumbe kwenye group fulani ambalo yeye ni member so akachanganya mafail.
Nimewaza tu.
Dudu...Possible maana Mzee wetu sio wa kukurupuka
Si kawaida yangu.
Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya.
Ukimya huu wa jumla umenishangaza sana.
Ukimya huu si wa kawaida.