Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Akili yangu haijWahi potea, jadili hoja kuliko kunijadili mimi huo ni upungufu wa akili.Leo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.
Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?
Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Bado hujamjibu mtoa post,slow slow yupo wapiLeo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.
Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?
Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Serikali ndio sisiemu, wao wameongea au!Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa. Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga. Maana upande wapili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali. Nawasilisha.
Hoja ndio inatufanya tutake kujua mleta mada ni Nani, ana umri gani, ana elimu gani, ana mrengo gani(wa kisiasa). Tukiyajua hayo ndio tutaijadili hoja kwa akiliAkili yangu haijWahi potea, jadili hoja kuliko kunijadili mimi huo ni upungufu wa akili.
Haiko kwenye ilani ya chama. Tuko busy: Tunatekeleza.Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.
Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.
Maana upande wapili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?
Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali. Nawasilisha.
Kunatokota... Mpaka moja haikai wala mbiliMacho yote kwa John
Jadili hoja weweeeeLeo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.
Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?
Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Ccm ulitaka wafanye nini? Wanashona barakoa zikiwa tayari watagawaSalaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.
Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.
Maana upande wa pili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?
Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali.
Nawasilisha.
Ahaaa umeingia mtegoni kirahisi usifikiri wanaiuliza ccm kwa heri wanaidhihaki kuwa imeshindwa kupambana wewe unafurahi kama zuzu eti wamejua kuna ccmLeo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.
Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?
Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.