Ukimya huu wa CCM juu ya COVID19 unamaanisha nini?.


Wanauliza viongozi wa ccm au wanawakejeli? Viongozi wa ccm tulikuwa tunasema wanajiweka mbele kwenye baadhi ya mambo ili kuhadaa umma, saa imefika muda sahihi wa kukaa mbele wameufyata.
 
hapa pia kuna upungufu wa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka useme kuwa CCM hawajitambui kuwa walipewa jukumu la kuongoza?Akili kukaa sawa unadhani wewe na jamii yako mnaishi kisiwani kwamba hili janga halitawafikia? Muda Fulani tuwe na Afya njema ya Akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzisha uzi unao
Hoja ndio inatufanya tutake kujua mleta mada ni Nani, ana umri gani, ana elimu gani, ana mrengo gani(wa kisiasa). Tukiyajua hayo ndio tutaijadili hoja kwa akili
Anzisha uzi unaohusiana na hilo jambo utajibiwa tu. Kwa sasa tunajdili ukimya wa chama chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…