Jamani mimi nimehitimu chuo kikuu cha Dar Es Salaam clss2011,BA(Hon) In Geography&Environmental Studies.Nimejitahidi kwa JUHUDI ZANGU ZOTE kutafuta kazi japo ya aina yoyote ila sijafanikiwa hadi leo.Ila nimekuwa nikiona wenzangu wakiomba msaada humu jf na nina imani wanafanikiwa hivyo naombeni msaada wanajf kwani maisha sasa yameanza kuwa magumu kabisa.So please nisaidieni kupata kazi yoyote kulingana na ngazi hiyo ya elimu.PLZ wanajf
Shika chaki mkuu huku ukisilizia interview sehemu nyingine!
Pole sana, ila shule za secondary zipo nyingi tuu, nenda kafundishe. eg peleka CV yako na vyeti na barua ya maombi pale wizara ya Elimu wakupangie shule. ila uking'ang'ania dar ndugu utakwama. anza na ualimu then michongo mingine baaadae.
Mbona kuna kazi BARRICK? au nenda ECO....MIKOCHENI kwa Masha ukaokote taka. Mbona kazi nyingi za field yako? au unataka uanzie ukurugenzi?
Nenda kwa SABODO au Mengi muombe pesa kidogo ununue miche ya miti upande , thru this I can assure you, you will get money. Take me seriously
mkuu am taking you serious but hao akina Sabodo na Mengi mimi ntawafikiaje?hilo nalo lina changamoto!!!.sio kwamba nataka nianzie ukurugenzi no ndo maana kwenye thread nimesema kazi yoyote.kuhusu ECO ntajaribu kwenda kuwaona je wewe uko familiar nao?
ok,mkuu nakupata twendelee kushirikishana kwa lolote linalowezekana.thanx MoonyChukulia hizo changamoto kama opportunities! soma thread ya 'ways to solve problems"
ok,mkuu nakupata twendelee kushirikishana kwa lolote linalowezekana.thanx Moony