Ukimya wa Bernard Membe

Ukimya wa Bernard Membe

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
 
Naye huyu kuna mtu atamnyamazisha kabisa atakapoondoka ofisini - ikiwezekana hata retiremeent benefits zote kuondolewa na pengine kuswekwa lupango kabisa. Wenye vinyongo waliojeruhiwa wapo ndani na nje ya CCM.

Apandacho mtu ndicho avunacho!
 
AMESHAMALIZA KAZI YAKE KULE UPINZANI. Ukisikia kijipiga bao ndo hivyo tena, upinzani umejifunga goli "Own goal". Upinzani uchwara Tz, bado 2025 watamsimamisha NAPE
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Sawa mzee wa kujitomba.shisho
 
Si ajabu yuko under house arrest kama alivyoishi marehemu Mzee Aboud Jumbe.
 
Huyu Mungu ndio aliwachagua pia kina Mussolini na kina Joseph Stalin ?

Na vipi wakati Jews wanateswa na Hitler na kuuliwa ?, alikuwa amewasahau. Tusipende kuchangaya Imani na Siasa kwa kuweka Propaganda, hapo ni kuwafanya watu wasihoji na badala ya Policy na kuhoji kinachobaki ni indocrination...
 
"Eti hawezi kushindana na Magufuli sababu ni Chaguo la Mungu"!🤔

Atakuwa siyo Mungu huyu ninaye mwamini mimi bila shaka! Mungu anaye tutaka tuwe ni watu wenye upendo, amani, furaha, umoja, upole, unyenyekevu, nk.
 
Mungu hakushindwa kumfanya ashindwe! Mungu hajawahi shindwa lolote.

Basi tuitii mamlaka

Sawa, lakini unaweza kuthibitisha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM??!!, mimi nataka huo uthibitisho tu wala sitaki kujua kama Mungu anaweza au hawezi.
 
U
Viongozi dhaifu hutegemea sana bunduki, zaidi kuliko dialogue. Kama unamaanisha bunduki zimeshinda sawa
Utaumia saana, hiyo dialogue pereka ufika maana bado haijafika huko kwa mbadilisha gia angani
 
Back
Top Bottom