jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Mungu alipigia kura katika kituo gani kumchagua JPM?JPM ni chaguo la Mungu.
Una muona hapoo ulipoooo huyo Mungu ???Mungu alipigia kura katika kituo gani kumchagua JPM??!!
Mungu hakushindwa kumfanya ashindwe! Mungu hajawahi shindwa lolote.Mungu alipigia kura katika kituo gani kumchagua JPM?
Sawa mzee wa kujitomba.shishoKimya mzee wa watu!
Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.
Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.
Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.
Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Una muona hapoo ulipoooo huyo Mungu ???
Mungu hakushindwa kumfanya ashindwe! Mungu hajawahi shindwa lolote.
Basi tuitii mamlaka
Utaumia saana, hiyo dialogue pereka ufika maana bado haijafika huko kwa mbadilisha gia anganiViongozi dhaifu hutegemea sana bunduki, zaidi kuliko dialogue. Kama unamaanisha bunduki zimeshinda sawa