WanaJF,
Tangu nimjue Dr Slaa miaka karibu 10 iliyopita, hivi sasa nimeanza kushuhudia mzee huyu kutandwa na ukimya wa kutisha.
Katika watu ambao sikutarajia wao kukaa kimya kuhusu suala la posho, mmoja wapo ni Dr Slaa, ila nimeshangazwa na ukimya wake huu.
Hali hiyo ya ukimya imenipelekea kujenga 'assumptions' kadhaa juu ya Dr Slaa, nazo ni:
A) Kwa kuwa CHADEMA inampa posho ya zaidi ya Tshs. 1 million, hivyo roho inamsuta akianza kuwasema wanaotaka nyongeza kwenye laki 3?
B) Wenda na yeye ana tetea maslahi ya vijana wake kama vile Lema, Nassari na Mnyika kupitia posho za bunge la katiba?
C) Labda uzalendo, ujasiri na uchungu wa taifa lake vimemkauka, hivyo imepelekea yeye kutojali lolote linaloendelea nchini.
Binafsi nimeipa uzito assumption no.1 sijui wana jukwaa wengine.