PreGE2025 Ukimya wa Freeman Mbowe Chadema nao ni jibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
FAM ana biashara zake mpaka huko Dubai
Huu ni muda muafaka kuzisimamia, mlidhani anaishi kwa kula ya chadema....
Mjibebe sasa wenyewe na tonetone....
 
Fumbo kuhusu mradi wa COVID-19 unakwenda kupata majibu. Viongozi wengi wanakimbia kashfa ya matumizi ya ruzuku pamoja na uteuzi wa wabunge wa viti maalumu ambao wengi wao ni wake ama mahawara wa viongozi.

Ujio wa uongozi mpya chini ya Lissu unawafanya G 55 waanze kutapatapa na kukimbia wenyewe ndani ya chama kabla mambo hajawaendea kombo. Hakuna siri duniani, hatimaye kila kitu kitakuja kuwekwa hadharani.

Kimya kingi kina mshindo mkuu.
 
Mbowe atakuwepo tarehe 19 May mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…