Kwenu Burundi ndiyo utaratibu unakuwaga hivyo?Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote linalomsibu?
Mleta uzi anamtakia mzee ruksa majanga hasa kipindi hiki cha changamoto ya kupumuaNa uzee wote ule aje kufanya nn? Acha mzee apumzike
Lockdown sababu anaogopa nimonia kaliKiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote linalomsibu?
Atafanyaje wakati siku hizi chakubanga kaja na masharti kibao kwa MATAGA hupati posho ya buku 7 hadi upande thread 10 kwa sikuYani Mataga wazee wakiongea wanawasha,wakikaa kimya wanataka taarifa zao?
Nawdaz JamiiForums imekuwa kama Facebook yani anaandika post kama anamsongo wa mawazo.
Hiyo ndiyo kazi unayo iwezaHuna akili we mmakonde wa msumbiji.
Atafanyaje wakati siku hizi chakubanga kaja na masharti kibao kwa MATAGA hupati posho ya buku 7 hadi upande thread 10 kwa siku
🤩🤩🤩Hiyo ndiyo kazi unayo iwezaView attachment 1713118
Hali kwao imebana sanaHapo sawa
Kwetu Usukumani tuna msemo, mtu umri ukiwa mkubwa sana, anarudi utotoni.Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote linalomsibu?
nenda kwake msasani utamkutaKiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote linalomsibu?
Na atakaa kimya sana, karidhika mno, nyumba mpya yajengwa, mtoto kawa rais na makamu rais wa muungano, mwenyezi mungu akupe nini tena duniani???!!!
Shauri zako donda litaoza hiloUbongo umejaa nailoni.
Mzee wetu yupo mkuranga anakula madafu na mihogo tu hana shida ya kukaa msasaniFamilia zote zenye exposure, Elimu,upendo na huruma wamefungia ndani Wazee wao kipindi hiki cha 'pepo chafu'
Yupo mkuranganenda kwake msasani utamkuta