Kweli mzee Mwinyi katimiza lengo lake la kumrithisha mwanae nchi, sasa iliyobaki ni kumuomba Mola kwa sala tano!!Na atakaa kimya sana, karidhika mno, nyumba mpya yajengwa, mtoto kawa rais na makamu rais wa muungano, mwenyezi mungu akupe nini tena duniani???!!!
Kwani Nani kamkataza asiongeeNani kasema aongee?
hakai mkuranga bwana yuko pale kalibu na kwa warioba nyumba zake ziko barabarani kabisa si ajabu unapita kila siku ila hujui kama anakaa hapoYupo mkuranga
Wacha usukununu wewe dogo wa koromitjeNani kasema aongee?
Nakuonea huruma kushindia kashata na maji ya kandoro wakati kwenu koromitje ungeweza kufanya kazi ya uvuvi ukaishi maisha bora.Mbona unawewesea sana?
Mwinyi ni mzee. Tena mzee kweli kweli. Halafu kuna korona. Huoni ni busara akapumzika nyumbani?Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote linalomsibu?
Utaishia kushindia kashata tu hapo lumumbaNina mashamba, mashine ya kusaga na miradi bodaboda kibao.