Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Tatizo linakwenda kuwa historia wahuni wote wapo ndani kimya kimya wanashughulikiwa mzizi fitinishi unakatwa, hujuma za kuipaka serekali matope zinafika kikomo, serekali yetu makini inakwenda kumaliza tatizoUnakidhalilisha chama chako
Waanze na huyo Mama na sio kutoa kafara hao anaowatuma. Kwanza haiwezekani maana wote ni wahusika.Tatizo linakwenda kuwa historia wahuni wote wapo ndani kimya kimya wanashughulikiwa mzizi fitinishi unakatwa, hujuma za kuipaka serekali matope zinafika kikomo, serekali yetu makini inakwenda kumaliza tatizo
zimewachoma mpaka mnatoa milio ya kila aina!slogan ya N. E. N. R Ni upuuzi mtupu hazina impact yoyote, hizi ni kelele za hayawani au mwehu, zitakoma October!
Tunafurahi utekaji unakwenda kumalizwa na serekali makini ya CCM.
Zamani nilihisi wewe ni zero brain ila sasa nimetambua hisia zangu ni za uhakika na ukweli km TBC.slogan ya N. E. N. R Ni upuuzi mtupu hazina impact yoyote, hizi ni kelele za hayawani au mwehu, zitakoma October!
Tunafurahi utekaji unakwenda kumalizwa na serekali makini ya CCM.