Ukimya wa Tundu Lisu juu ya kifo cha George Floyd

Lisu anawatumikia mabeberu na kuwaona kama sehemu ya maisha yake
Unaweza ukakuta na wewe ni DC ama RC halafu bado watu wanahisi nchi imerogwa
 
Msiwe wapumbavu Lissu hana mamlaka ya kukemea chochote kinachoendelea Marekani, Mwenye mamlaka ni Kabudi na Balozi aliyeko uko. tatzo ujinga na upumbavu umewajaa.

Kwa hiyo jambo la kusema hata kwa kusikitishwa na kifo cha george na kwa kuwa nae ni muhanga wa shambulio anaogopa nini watamfukuza huko?
Nyie ni wanafiki ebu tazama yule mkenya alihamasisha waandamanaji kutaka haki kwa kiswahili, kwani alikuwa ni barozi wa kenya?
Mwambieni basi na dada yenu mange a tweet kulaani kitendo hicho mana hata yeye kinamhusu siku moja yatamkuta huko au watoto wake,
Na sio kila siku Tanzania wakati huko wanakaa kimya.
 
Kwa hiyo maandamano dunia nzima ilikuwa ya nini
Yalilaani ukatili wa polisi.Ukatili wa polisi si Jambo la kibaguzi ni tabia binafsi ya polisi.Hakuna kipengere cha ubaguzi,au kuuwa kwenye sheria za polisi dunia nzima.Hata Hawa wetu wanaoumiza au kuuwa waandamanaji ni tabia binafsi za asili za walipotoka ukooni kwao, wengine wanatoka kwenye koo zenye laana ya kuuwa au ukatili, wengine upiga watu sababu ya stress.
 
Kwani Magufuli ameliongelea wapi!!??
 
Kwani magufuli anahangaika na sera za mabeberu?,
Mkiomba misaada wanakuwa wafadhili Bwege ndio maaana aliwaita nyie mazezeta ...mnanjaaa ndioooo mmeshiba ndiooooo ..... Ndimi mbilimbili
 
Hawezi kuwagusa wazungu waliomtuma kufanya fujo, si atakosa hela! Halafu mambo yanayoendelea duniani hajui yeye anataka ya tz tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…