Uchaguzi 2020 Ukimya wa wabunge hawa wa CHADEMA ktk kipindi hiki chama kinavurugana kunanini?

Uchaguzi 2020 Ukimya wa wabunge hawa wa CHADEMA ktk kipindi hiki chama kinavurugana kunanini?

Masanjaone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
844
Reaction score
597
Wabunge hawa nahisi kunajambo linaenderea ndani yachadema
1.Thelasini
2.Com
3.Kubenea
4.Joseph haule
5.Sugu
6.Silinde
7.Kiwanga
8.jLJualikari

Mwenye kufikiri atakuwa na majibu .
(Yajayo yanafurahisha)
 
Chama kinavurugana kivipi?CCM kwenye propaganda ni vilaza sana,kubalini na mjipange kwa mengine!
 
Halima na Bulaya badala wawe wanachukua ushauri kwa wenzao kama Prof Jize, Qambalo na Selasini wanachukua ushauri kwa Yericko Nyerere, Mdude Chadema na Kwinyara Kwintara
 
Kuna mwingie wa Chadema Arumeru magharibi, Gibson Meiseyeki. Huyu hata kuchangia mada bungeni simsikii.
 
Wabunge hawa nahisi kunajambo linaenderea ndani yachadema
1.Thelasini
2.Com
3.Kubenea
4.Joseph haule
5.Sugu
6.Silinde
7.Kiwanga
8.jLJualikari

Mwenye kufikiri atakuwa na majibu .
(Yajayo yanafurahisha)
Fanya yako kaka; kwako kunafukuta kutwa kucha upo kwa jirani chabot!!
 
Wanalipia 1.5 Million kila mwezi kwa Mwenyekiti sasa mengine hayawahusu

Nyumba ya kupanga ukishalipa kodi kaa kimya, mambo ya wenye nyumba hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye shida wanakaa mbali hawawatu hawana ujasiri wa kuwa wapinzani wanachotaka ni "taito na hela". MTU kama kubenea yuko hapohapo dar! Hauled naye muogaaa anaiogopa jela mbaya sasa sijui kwanini asibaki mzikini pekeyake
 
Wabunge hawa nahisi kunajambo linaenderea ndani yachadema
1.Thelasini
2.Com
3.Kubenea
4.Joseph haule
5.Sugu
6.Silinde
7.Kiwanga
8.jLJualikari

Mwenye kufikiri atakuwa na majibu .
(Yajayo yanafurahisha)
Washa choshwa Mwinyikiti wa kudumu.
 
Back
Top Bottom