Ukinasa Hunasuki, Ukigusa huachiiii...



Ndo hapo sweet tunapointerfere sasa, vipi mwaka umeuanzaje lakini?mwenzio nakumiss tu jingine hamna
 
yaaani ni kama kiti cha basi ni sawa na daladala ya mbagala ukiinuka tu anakaaa mwingine tena kwa kugombania...............


Heeeeeeeee makubwa haya yaani kama yale makarandinga ya mbagala tena? Mwaka mpya na mambo mapya
 


hahhahahahaahaha tutaenda wote maana mikao ya Preta
 
Haichachi wala haiwi kiporo
Kila atakae gusa ataisifia tamu,
Haina size kama kiatu kusema hii si saiz yangu!


Hahahahahahahaha aminia mkuu, ina majina zaidi mia na hufit kila jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…