Ukinifanyia hivi, nakulipa. Nikikufanyia, nilipe!

Ukinifanyia hivi, nakulipa. Nikikufanyia, nilipe!

PMNBuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
967
Reaction score
154
Ni hali ya kawaida mvulana kumtongoza msichana, wakikubaliana, mvulana hutenga fedha kwa ajili ya: kununua chakula, vinywaji, nauli, gharama ya chumba (for action), kutoa hela ya vocha ya simu, zawadi n.k. Lakini nimekuwa nikijiuliza, nani anafaidi zaidi? Mwanaume au mwanamke. Tazama hili, mvulana anamaliza first round kati ya dakika 2 - 5. Msichana ni kati ya 5 - 15 - kutegemeana na taaluma ya mvulana/msichana. Hapo nani anastahili kugharamia shughuli hiyo?? Maana katika hali ya kawaida, msichana anaonekana kutumia muda mwingi wa mvulana kuliko mvulana alivyomtumia msichana. Kwetu sisi tuliozoea kulipwa kwa TIME SHEET, then msichana amliupe mvulana. Ndio maana nimeacha kabisa kuridhisha wasichana eti nao wafike mwisho, kama wanataka kufika, basi wanilipe kwa zile dakika kuanzia 5 - 15 kwa kulipia chumba, chips, nyama, soda, nauli, vocha, n.k.

Hapo vipi waungwana??
 
Sasa hayo ni mapenzi au biashara?
Kama unataka kulipwa jisajili rasmi.
 
.....development is the grpwth of thoughts...of course 'yes you can'....ukikua utaacha
 
Ni hali ya kawaida mvulana kumtongoza msichana, wakikubaliana, mvulana hutenga fedha kwa ajili ya: kununua chakula, vinywaji, nauli, gharama ya chumba (for action), kutoa hela ya vocha ya simu, zawadi n.k. Lakini nimekuwa nikijiuliza, nani anafaidi zaidi? Mwanaume au mwanamke. Tazama hili, mvulana anamaliza first round kati ya dakika 2 - 5. Msichana ni kati ya 5 - 15 - kutegemeana na taaluma ya mvulana/msichana. Hapo nani anastahili kugharamia shughuli hiyo?? Maana katika hali ya kawaida, msichana anaonekana kutumia muda mwingi wa mvulana kuliko mvulana alivyomtumia msichana. Kwetu sisi tuliozoea kulipwa kwa TIME SHEET, then msichana amliupe mvulana. Ndio maana nimeacha kabisa kuridhisha wasichana eti nao wafike mwisho, kama wanataka kufika, basi wanilipe kwa zile dakika kuanzia 5 - 15 kwa kulipia chumba, chips, nyama, soda, nauli, vocha, n.k.

Hapo vipi waungwana??

Wewe unatumia dk2-5 tu.lol kamuone Dr. wewe .Kama unatumia dk mbili ya nini kulipia chumba jibanze kwenye uchororo dk 2 unapiga bao basi.
 
nature takes its place .....na usipomridhisha atanitafuta mimi.....

Nenda tu kamchukue maana PMNBuko hafai yaani anatumia dakika mbili tu hadi tano kwa first round, kweli ndio maana haridhiki na hatosheki kabisa huyo msichana wake!!!!
 
suala siyo nani anafaidi - anayejipendekeza kumtongoza mwenzake ndiye anapaswa kulipia huduma - iwapo mmetongozana, basi anayemchafua mwenzake ndiye abebe mzigo...
 
suala siyo nani anafaidi - anayejipendekeza kumtongoza mwenzake ndiye anapaswa kulipia huduma - iwapo mmetongozana, basi anayemchafua mwenzake ndiye abebe mzigo...

Hahahahaa!! mzigo uko palepale!
 
Wewe nafikiri hujui jinsi ya kumridhisha mdada kwa hyo hapa unazuga zuga 2 time sheet mwanaume wa ukweli furaha yake ni mdada wake afurahi,kama vp omba ushauri uelekezwe,
 
jamaa kasema ukweli mtupu mwanamke anaenjoy muda wote wa mapenzi kuliko mwanaume

mtu mmoja aliwahi kumuuliza mtume

eti kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidi?

mtume akamwambia

chukua kidole chako chovya kwenye asali
.
jamaa akachovya.

mtume akamwambia weka mdomoni

jamaa akaweka mdomoni.

mtume akamuuliza unasikiaje?

jamaa akajibu nasikia utamu.

mtume akamwambia toa kidole mdomoni.

jamaa akatoa kidole.

mtume akamuuliza tena unasikiaje mdomoni?

jamaa akasema utamu.

mtume akamuuliza tena kidoleni je?

jamaa akasema hamna kitu.

mtume akamwambia nadhani ushatambua utamu nani anapata kwa heri.
 
teh! nimeipenda
 
kwa nn muwa tule wote alafu nilipe mwenyewe?...hii ina apply hapo?..
 
Tamu inakua kwa wote,ikiwa unafanya kama unabaka utaisikiaaje? dakika 2-5 yani hata huyo mwanamke haja changanya kama nisafari ndio kwanza anatafuta viatu chini ya mvugu wa kitanda.....
 
Wewe unatumia dk2-5 tu.lol kamuone Dr. wewe .Kama unatumia dk mbili ya nini kulipia chumba jibanze kwenye uchororo dk 2 unapiga bao basi.

inaelekea jamaa akiwa anaingia na demu wake Ghetto, demu kufuli hua analivuliwa mlangoni, jamaa ana pupa sana, za uchochoroni zinamfaa
 
that means haufanyi hata romance, yan akuna kiss, touch, hug ya zero distance n.k. hyo kali.
 
​kijana punguza haraka na pupa hii kitu inahitaji maandalizi sio unarukia tu kama kuku
 
jamaa kasema ukweli mtupu mwanamke anaenjoy muda wote wa mapenzi kuliko mwanaume

mtu mmoja aliwahi kumuuliza mtume

eti kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidi?

mtume akamwambia

chukua kidole chako chovya kwenye asali
.
jamaa akachovya.

mtume akamwambia weka mdomoni

jamaa akaweka mdomoni.

mtume akamuuliza unasikiaje?

jamaa akajibu nasikia utamu.

mtume akamwambia toa kidole mdomoni.

jamaa akatoa kidole.

mtume akamuuliza tena unasikiaje mdomoni?

jamaa akasema utamu.

mtume akamuuliza tena kidoleni je?

jamaa akasema hamna kitu.

mtume akamwambia nadhani ushatambua utamu nani anapata kwa heri.

Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!
 
Back
Top Bottom