MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyu jamaaa ni mgonjwa sometimes, ana jiona kinomaIvi Baraka ndio alisema hamjui Young killer?
Hahahahahaahhaha umenifacha nichk had nkaonekana chizHapo naona Dogo janja ana hatihati ya kuwa demu wa mtu
umemsahau bill nassKati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa
Young Dee
Dogo Janja
JoH Makini
Baraka Da Prince
G Nako
Mondi nk?
Alikuwa anatafuta kiki tu,Huyu jamaaa ni mgonjwa sometimes, ana jiona kinoma
Kwa wanaojielewa sidhan kama kuna haja ya kumjibu.Kati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa
Young Dee
Dogo Janja
JoH Makini
Baraka Da Prince
G Nako
Mondi nk?
Hata sielewi mnajadil nn hapa!. Naomba unieleweshe pleaseKwa wanaojielewa sidhan kama kuna haja ya kumjibu.
Mfano diamond aliupost kwenye page ya insta kama siku nne nyuma akiwasihi watu wakausikilize yani akimuombea support toka kaa shabiki zake...
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Dogo kaleta mipasho ya miduara kwenye hip-hop achunge atapotea
Hip Hop ndio ipo hivyo mkuu.Dogo kaleta mipasho ya miduara kwenye hip-hop achunge atapotea