ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano.
Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu
Mali yangu nitaanza kwanza kukuloga nikiona imeshindikana nakuja kimzaa.
Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu
Mali yangu nitaanza kwanza kukuloga nikiona imeshindikana nakuja kimzaa.