Ukiniuliza ni kwanini leo nina Furaha ya ‘ Ajabu ‘ basi sababu zangu Kuu ni hizi Nne ( 4 ) tu

Ukiniuliza ni kwanini leo nina Furaha ya ‘ Ajabu ‘ basi sababu zangu Kuu ni hizi Nne ( 4 ) tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
KWANZA

Klabu yangu ‘ pendwa ‘ ya Simba imekuwa Bingwa tena na Kukabidhiwa rasmi Kombe lake ili iweze Kuiwakilisha vyema Tanzania ya Rais wangu Mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika ambapo nina uhakika kwa kuwa mwaka huu tumefika hatua ya Robo Fainali basi Msimu ujao ni Kufika Nusu kisha Fainali na hatimaye tunabeba Kombe kabisa.

PILI

Klabu inayotoka Nyumbani kabisa ( Mkoa wangu wa Asili ) wa Mara ( Musoma ) ya Biashara United imebaki Ligi Kuu hivyo bado Msimu ujao wana Mara wote watakula raha na Mkoa utakuwa Kimchezo na Maendeleo yatazidi Kupatikana. Kwa kuendelea Kubaki Ligi Kuu kwa Msimu ujao nina uhakika Vipaji vingi vya Soka vilivyopo Mkoani Mara vitaonekana ili kurudisha enzi za Wachezaji kama akina George Magere Masatu, Bita John, Elias Maguri, Rajab Msoma, Kimune Mwita, Chacha Marwa, Ally Mchumilla na GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE bila kusahau na wengineo wengi sana ambao walicheza Klabu za TP Lindanda ( Pamba FC ) na wengine kwa sasa wanacheza Vilabu mbalimbali kama Mbao FC, Alliance FC, Mwadui FC, KMC FC huku wengi Wao wakiwa katika Timu za Majeshi za Ruvu, Mgambo na wengine wakiwa Timu za Polisi. Kitakwimu Mkoa wa Mara ( Musoma ) unashika Namba Tano ( 5 ) kwa Kutoa Wachezaji wenye Vipaji vya Soka / Kabumbu nchini ukitanguliwa na Mikoa ya Morogoro, Kigoma, Tabora na Mwanza pekee.

TATU

Klabu ya Rafiki yangu Kipenzi na Kocha Bora Kijana kabisa na Nahodha aliyekuwa na Mafanikio Simba SC Mtani wangu wa ‘ Kiha ‘ Suleiman Abdallah Matola ya Lipuli FC imebaki Ligi Kuu na nina uhakika Msimu ujao itafika mbali sana.

NNE

Klabu nisiyoipenda na ninayoichukia mno pamoja na Kocha wake ambaye ‘ hatupendani ‘ kabisa tokea akiwa Mchezaji Mecky Maxime ya Kagera Sugar imeshuka rasmi Daraja. Huyu Kocha ni ' Mnafiki ' mkubwa na ana ' Uyanga Uyanga ' mwingi, wa wazi wazi wala hafichi ambapo Yanga ikicheza na Kagera Sugar huwa anapanga Kikosi ' dhaifu ' makusudi ili Kagera Sugar ifungwe na Yanga lakini akijua anacheza na Simba SC huyu Kocha huwa anatumia muda wake mwingi kuwahimiza Wachezaji wake ' wakaze ' sana huku hadi akiwaahidi ' Zawadi ' nono Wachezaji wake ambazo zingine nyingi huwa anakuwa amepewa na wana Yanga ili tu ' aifunge ' Simba na huku hadi Yeye mwenyewe akishiriki katika ' Kuiroga ' Simba ili Kagera Sugar ishinde.

Kocha Mecky Maxime amevuna alichokipanda na kama wana Simba SC ' tulivyoilaani ' Toto Afrika ambayo nayo ilikuwa na ' Upuuzi ' huu huu wa Kagera Sugar kwa ' Kuikazia ' Simba kupitia kwa Kocha Wao ' Mnafiki ' mwingine Mzee John Tegete ' tumeilaani ' pia na Kagera Sugar na tutahakikisha haipandi tena Ligi Kuu kama ambavyo Simba tunaifanyia ' Fitna ' Kubwa Toto Afrika isipande Ligi Kuu na haitopanda na hazitopanda ng'o hadi wakome / zikome.

Nawasilisha.
 
Du wamechukua point 6 unyamani tena kikomavu wakaona wamemaliza kwa kumfunga bingwa Leo hii 000 all in all ndio soccer

Na Simba SC tutatenga Bajeti ' Maalum ' kabisa ili isipande tena Ligi Kuu hiyo Kagera Sugar kama ambavyo tunawafanyia ' Umafia ' Klabu nyingine ya ' Kinafiki ' yenye ' Uyanga Uyanga ' mwingi ya Toto African ya Mkoani Mwanza.
 
Tato Gentamycine kwa Biashara Mara Kubakia Ligi kuu pia nimefurahi sana.

Msimu huu ulikuwa na changamoto za hapa na pale, na hakika msimu ujao tutafanya vyema maana hata udhamini ulikuwa wa taabu ila mwisho wa siku tuko na Acacia.

Tutegemee makubwa kutoka Biashara FC msimu ujao...
 
Nimejisikia raha sana Kagera kushuka tena bila play off, wakapambane sasa huko kwenye vumbi tu

Kwa ' Mkakati ' ambao Simba SC tumepanga baada ya leo kuthibitishiwa kuwa imeshuka rasmi Daraja ikipanda tena Daraja kuja Ligi Kuu GENTAMYCINE nitatembea kwa Miguu Kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma. Kwanza kwa sasa tunahakikisha tunatengeza bonge la ' Zengwe ' ndani ya hiyo Klabu ya Kagera Sugar kisha tunahakikisha Wachezaji Wao wote wazuri wazuri wanawakimbia halafu ' tunamchongea ' Kocha Mecky Maxime ili ' afukuzwe ' na akiondoka tu tunafanya ' Umafia ' Wetu ili wampate Kocha mpya ambaye atakuwa na ' Vinasaba ' vya Kutukuka vya ' Usimba Usimba ' halafu tutakuwa tunamalizana nae ili Msimu ujao aiongoze vibaya hii Timu ya Kagera Sugar kusudi ishuke tena hadi Ligi Daraja la Pili na huko tena tutaitafutia tu ' Kashfa ' ili TFF iifutilie mbali kabisa katika Ramani ya Soka nchini. Tunataka tuwafundishe Adabu hawa Kagera Sugar ili wajue kuwa hakuna Watu Tanzania nzima wanaojua ' Fitna ' na Kufanya ' Umafia ' ulioenda Shule kama wana Simba SC. Watatukoma!
 
nimefurahi zaidi kagera kushuka daraja

Hujanizidi Mimi kwa ' Furaha ' Kubwa Mkuu. Laana ya ' Unafiki ' Wao hasa wa Kocha Wao kuwa na ' Uyanga Uyanga ' mwingi huku wakikubali ' Kuhongwa ' na wana Yanga ili ' watukazie ' leo imewatafuna vizuri sana na bado hii ' Laana ' itawaandama hadi huko Ligi Daraja la Kwanza wanapoenda mpaka waje Kutuomba Msamaha wana Simba SC.
 
Tusahau maendeleo ya soka kama kumfunga Simba au yanga ni dhambi ya mauti. Laki pia kauli yako inathibitisha huwa hatupati bingwa halisi, ila tunapata mabingwa wa kuteuliwa.
Na Simba SC tutatenga Bajeti ' Maalum ' kabisa ili isipande tena Ligi Kuu hiyo Kagera Sugar kama ambavyo tunawafanyia ' Umafia ' Klabu nyingine ya ' Kinafiki ' yenye ' Uyanga Uyanga ' mwingi ya Toto African ya Mkoani Mwanza.
 
Wamefyekelewa mbali

Wakipanda tena Ligi Kuu ' nitaogelea ' kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar. Tunaenda kuwafanyia ' Umafia ' mkubwa huko huko Ligi Daraja la Kwanza ili wasipande tena Ligi Kuu na wakicheza na Sisi Wazee wa ' Fitna ' Simba SC tutawatengenezea ' Zengwe ' la ' Kashfa ' nzito ili Klabu ifutwe kabisa katika Ramani ya Soka nchini Tanzania.

Naichukia Kagera Sugar hasa Kocha Wao Mecky Maxime kama vile ninavyomchukia Shetani Mkuu Lucifer na Malaika zake.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Wakipanda tena Ligi Kuu ' nitaogelea ' kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar. Tunaenda kuwafanyia ' Umafia ' mkubwa huko huko Ligi Daraja la Kwanza ili wasipande tena Ligi Kuu na wakicheza na Sisi Wazee wa ' Fitna ' Simba SC tutawatengenezea ' Zengwe ' la ' Kashfa ' nzito ili Klabu ifutwe kabisa katika Ramani ya Soka nchini Tanzania.

Naichukia Kagera Sugar hasa Kocha Wao Mecky Maxime kama vile ninavyomchukia Shetani Mkuu Lucifer na Malaika zake.
 
Tato Gentamycine kwa Biashara Mara Kubakia Ligi kuu pia nimefurahi sana.

Msimu huu ulikuwa na changamoto za hapa na pale, na hakika msimu ujao tutafanya vyema maana hata udhamini ulikuwa wa taabu ila mwisho wa siku tuko na Acacia.

Tutegemee makubwa kutoka Biashara FC msimu ujao...

Ni kweli ' Poti ' ila Sifa Kubwa kwa Timu yetu ya Nyumbani Mkoani Mara ( Musoma ) ya Biashara United kubakia Ligi Kuu ziende hasa kwa Mkuu Wetu wa Mkoa Ndugu Malima kwani alijitoa kwa hali na mali kuipigania kama siyo kuipambania hii Timu kwa kuipa kila aina ya Msaada iliyokuwa ikitaka japo na Wananchi wa Mkoa wa Mara nao walijitolea mno kwa Timu yao / yetu hiyo.

Kuna Ushauri mkubwa nitawapa Viongozi wa Biashara United ( Timu yetu ya Nyumbani hii ) ambapo nitawaomba waige Mbinu za Kiongozi, Mwanasiasa, Mwanamichezo Mahiri na Mpenda Michezo Marehemu Mzee Lawrence Gama ambapo itabidi Mkuu wa Mkoa Wetu Malima aanzishe Utaratibu wa kila mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) kila Mwezi achangie Pesa fulani na kila mwenye Duka Mkoani Mara awe anachangia Pesa kidogo bila Kusahau Mabasi yote yanayoingia Mkoani Mara yawe yanachangia, Kila Kinywaji Baridi au Kilevi kitakachokuwa kinauzwa au kuingia Mkoani Mara kiwe kinatozwa Hela kidogo ya Kuisaidia Biashara United na pia Klabu yenyewe iendeshe Harambee nchi nzima kwa wana Mara Kuichangia popote kule waliko kisha Uongozi wa Klabu utengeneze ' Merchandises ' zake ili Kuuuza kusudi Klabu ijipatie Kipato zaidi na kubwa zaidi nitamwomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndugu Malima azungumze na Mamlaka ya Mbuga ya Wanyama Kubwa nchini ya Serengeti ambayo inapatikana kwa sehemu Kubwa Mkoani Mara waweze Kuwa ama ' Main Sponsors ' au basi hata ' Co Sponsors ' wa Klabu yetu ya Biashara United na wasiishie tu hapo wazidi Kutafuta ' Sponsors ' wengine ili Timu isiwe na Shida ya Kipato ( Pesa )

Ni aibu sana na mno Mkoa ambao ni ' Asili ' kabisa ya mwana JamiiForums GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " wa Mara ( Musoma ) usiwe na Klabu / Timu Ligi Kuu ya Tanzania Bara kama Mikoa ya ' Washamba / Mambwiga ' ya Kagera, Kigoma na Dodoma bora kidogo Singida Wao wana Timu na Mwanza ila nazo hazifanyi vizuri kama Klabu bora ya Mkoani Mara ya Biashara United.

Mungu ibariki sana Biashara United na wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) wote popote pale walipo hapa Ulimwenguni ila zidi ' Kuwalaani ' vikali Watu wote wa haya Makabila yasiyojitambua ya Wahaya ( Kagera ), Wanyaturu na Warangi ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Warangi ( Kondoa Dodoma ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza ) kwani hawana maana kabisa na isitoshe haya Makabila siyo ya Kitanzania bali yote ni ya Wakimbizi tupu na yanatujazia tu Idaidi ya bure Sisi Wana Mkoa wa Mara ambao ndiyo wenye Tanzania yetu hii na tuliyoiletea huu ' Uhuru ' leo hii.

Watani zangu mpo!!!!!!!
 
Tusahau maendeleo ya soka kama kumfunga Simba au yanga ni dhambi ya mauti. Laki pia kauli yako inathibitisha huwa hatupati bingwa halisi, ila tunapata mabingwa wa kuteuliwa.

Umeanza Kuvuta au Umeacha Kuvuta Bangi / Bange lini Mkuu?
 
huyu kagera kashukaje wakati yeye yupo katika wale wawili wa playoff kama msimamo unavyoonesha?
 
Back
Top Bottom