Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiii kwa ujira huu buku 7?Mnakunywa gongo kwenye corridor za lumumbaMimi nikilewa nahisi naongoza system ya Watu Mia Saba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu ukija kumuacha huyo usisite kunipa..😜We acha 2 Kuna cku nlikunywa nikalewa wife akanibeba mgongoni huwa nacheka Sana nikikumbuka
. HajahHah mkuu mhindi wa wa2 atanilaani nikimwacha 😃😃😃 alihangaika kinomaMkuu ukija kumuacha huyo usisite kunipa..😜
Uliondoaje harufu mpaka ajakusanda mkuuKwa kweli mimi nikinywa pombe huwa najihsi tofauti sana
Kuna khali fulani hivi ya kujiamini sana na ya kuchangamuka bila kumukera mtu
Pombe ilinisaidia kuvunja ukimya kwa boss mmoja hivi nikamufata na kumwambia hitaji langu
Wakuu nilipata kazi
HahahahahahaNaomba kiwasilisha.....View attachment 1589861
Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu.
Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana!
Onyo; hakuna onyo lolote