Ukinywa pombe....utachelewa kufunga goli wakati wa mechi

Ukinywa pombe....utachelewa kufunga goli wakati wa mechi

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
HI MEMBERS,
kuna hii kitu eti mtu akinywa pombe (beer or whisky) na akienda ulingoni, basi yeye atasukuma kabumbu balaa na hata kuwa na mapepe ya kufunga goli mapema. ni kukaba mwanzo mwisho na goli baadaye. hii imekaaje jamani? any observation/comment from practical scenario. najua hapa kuna wale ambao wameshawahi kula tunda wakiwa bwii/wamekunywa...... tafadhari tupeni maelezo.
Regards.
 
Iko kisayansi,labda wataalam wetu watusaidie kwanni hivyo,binafsi nimesikia hivyo
 
Mi naona iko poa sana,sometimes kwa vile wanaume wanakuwa fasta kufika kileleni na kuwaacha wenzao hivo wakitumia kinywaji wanachelewa kiasi flani halafu kama ni mara ya kwanza kukutana naye ktk mahusiano yenu inaondoa kufanya tendo kwa aibu au inaondoa uoga.but cha msingi usilewe halafu ukaanza kufanya ngono zembe.But i think wine,whisky au konyagi ndo vinywaji vinavyochelewesha.
Ila sasa kama mwenzako hatumii pombe hapo utakuwa unampa kero but kama wote mnatumia ni mzuka tu.
 
Inategemea mtu na mtu ,wengine wanachapa konyagi ,mikito ni ileile na matokeo ni hayohayo
 
basi tuongelee majority. mi kwa upande wangu sijawahi kusikia na labda nije nijaribu then nitawambia itakavyokuwa. lakini ingependeza kama ningefanya majaribio na memba wa JF ili tukirudi kwenye hoja tuweke mambo wazi.
 
chochote unachoamini kinaweza kuongeza au kupunguza muda, na pia conditioning i.e waweza jifunza kufanya hivyo.
 
HI MEMBERS,kuna hii kitu eti mtu akinywa pombe (beer or whisky) na akienda ulingoni, basi yeye atasukuma kabumbu balaa na hata kuwa na mapepe ya kufunga goli mapema. ni kukaba mwanzo mwisho na goli baadaye. hii imekaaje jamani? any observation/comment from practical scenario. najua hapa kuna wale ambao wameshawahi kula tunda wakiwa bwii/wamekunywa...... tafadhari tupeni maelezo.Regards.
Ni kweli kwamba ukipiga ulabu sana, jamaa hatoi maji mapema, na kama unatumia kinga ambayo ni weak, utakuta umebakia na kale ka ring ka juu tu ka hiyo kinga, ngoma imepasuka muda mrefu. Mimi siku moja nilikuwa na event ya graduation yangu nikaweka mtungi sana, baada ya pilika nyingi za tukio hilo, ikafikia hatua ya kuzama Shukani na GF. Kaka wacha kabisa, tuliahirisha maana GF alianza kuumia baada ya takribani dakika 40 za tukio bila mafanikio. Ngoma ilibidi niiwekee barafu ili ilale.
 
Mi naona iko poa sana,sometimes kwa vile wanaume wanakuwa fasta kufika kileleni na kuwaacha wenzao hivo wakitumia kinywaji wanachelewa kiasi flani halafu kama ni mara ya kwanza kukutana naye ktk mahusiano yenu inaondoa kufanya tendo kwa aibu au inaondoa uoga.but cha msingi usilewe halafu ukaanza kufanya ngono zembe.But i think wine,whisky au konyagi ndo vinywaji vinavyochelewesha.
Ila sasa kama mwenzako hatumii pombe hapo utakuwa unampa kero but kama wote mnatumia ni mzuka tu.

exellent inaonyesha unajali sana...safi. si vema kuwa kero.
 
Back
Top Bottom