Nakunaliana nawe Kila mtu ni tofauti likijaKwenye swala hili..Inategemea mtu na mtu ,wengine wanachapa konyagi ,mikito ni ileile na matokeo ni hayohayo
supu ya pweza na konyagi je........
Valeur noma m2 wangu - niliijaribu J2 - Duh! Sitorudia tena.Ila usijaribu valeur,kazi O.
Ni kweli kwamba ukipiga ulabu sana, jamaa hatoi maji mapema, na kama unatumia kinga ambayo ni weak, utakuta umebakia na kale ka ring ka juu tu ka hiyo kinga, ngoma imepasuka muda mrefu. Mimi siku moja nilikuwa na event ya graduation yangu nikaweka mtungi sana, baada ya pilika nyingi za tukio hilo, ikafikia hatua ya kuzama Shukani na GF. Kaka wacha kabisa, tuliahirisha maana GF alianza kuumia baada ya takribani dakika 40 za tukio bila mafanikio. Ngoma ilibidi niiwekee barafu ili ilale.HI MEMBERS,kuna hii kitu eti mtu akinywa pombe (beer or whisky) na akienda ulingoni, basi yeye atasukuma kabumbu balaa na hata kuwa na mapepe ya kufunga goli mapema. ni kukaba mwanzo mwisho na goli baadaye. hii imekaaje jamani? any observation/comment from practical scenario. najua hapa kuna wale ambao wameshawahi kula tunda wakiwa bwii/wamekunywa...... tafadhari tupeni maelezo.Regards.
Mi naona iko poa sana,sometimes kwa vile wanaume wanakuwa fasta kufika kileleni na kuwaacha wenzao hivo wakitumia kinywaji wanachelewa kiasi flani halafu kama ni mara ya kwanza kukutana naye ktk mahusiano yenu inaondoa kufanya tendo kwa aibu au inaondoa uoga.but cha msingi usilewe halafu ukaanza kufanya ngono zembe.But i think wine,whisky au konyagi ndo vinywaji vinavyochelewesha.
Ila sasa kama mwenzako hatumii pombe hapo utakuwa unampa kero but kama wote mnatumia ni mzuka tu.
kijana punguza kasi waweza tungisha mimba ya mapacha wa tatu nje ya mfuko wa uzazi[/QUOTE]
Hey - hiyo mbona ni kifo kwa mwenye kupokea hiyo mimba ya mapacha.