ogm12000 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 304 Reaction score 86 Feb 18, 2010 #41 Maria Roza said: Jino kwa Jino simpi msaada! Click to expand... Wewe lazima umnyime ila Vidumeziiiiiiiii. Ndio muda wa mambo yetu yale... lazima utumie chance...In other way kama ndio kingekuwa kidume chenzangu lazima nitose..
Maria Roza said: Jino kwa Jino simpi msaada! Click to expand... Wewe lazima umnyime ila Vidumeziiiiiiiii. Ndio muda wa mambo yetu yale... lazima utumie chance...In other way kama ndio kingekuwa kidume chenzangu lazima nitose..
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,661 Reaction score 1,267 Feb 18, 2010 #42 Sasa kwamfano wewe ni mwizi,ikitokea hali kama hii unampa msaada wa kupunguza baadhi ya vitu alivyokuwa navyo!!
Sasa kwamfano wewe ni mwizi,ikitokea hali kama hii unampa msaada wa kupunguza baadhi ya vitu alivyokuwa navyo!!
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,169 Feb 18, 2010 #43 ngoshwe said: Kabla kakunyima lifti, baadae unakutana nae katika hali hii, akikuomba msaada utatoa? Click to expand... Mpaka atoe yeye kwanza
ngoshwe said: Kabla kakunyima lifti, baadae unakutana nae katika hali hii, akikuomba msaada utatoa? Click to expand... Mpaka atoe yeye kwanza
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Feb 18, 2010 #44 ngoshwe said: Hata kama unaona mfereji ambao nawe waweza kunasa pia? Click to expand... Huyu lazima nimpe msaada na kingine hata asichohitaji!
ngoshwe said: Hata kama unaona mfereji ambao nawe waweza kunasa pia? Click to expand... Huyu lazima nimpe msaada na kingine hata asichohitaji!
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Feb 18, 2010 #45 Masanilo said: Huyu lazima nimpe msaada na kingine hata asichohitaji! Click to expand... Kaka una kaulevi hako eeh. Na kweli kazi imesharahishwa kuchojoa chache zilizobakia
Masanilo said: Huyu lazima nimpe msaada na kingine hata asichohitaji! Click to expand... Kaka una kaulevi hako eeh. Na kweli kazi imesharahishwa kuchojoa chache zilizobakia