wewe ulivyokuwa na nafasi huko ulimshughulikia Ben saanane sasa hivi wamekutema unakuja kulia humu kwanza tueleze ulipo mwili wa Ben ndio ulete hizi longolongo zako
Mkuu unamjua huyu aliyeweka post au unajisemea semea tu.! Mambo ya Ben iachie mamlaka husika
Nina mashaka na anayeitumia account hii kwa sasa.
Nina mashaka kwa kuwa huko siku za nyuma alizungumza jambo na likatokea na nikaamini ya kuwa ni mtu ambaye yupo katika higher circles.Kinachonistua ni post zake za karibuni ambazo kwanza hazieleweki na pili zina typo error ambazo si rahisi kuzipata kwa mtu aliyetumia muda mrefu kaundika (Spear=Spare,capital letters paspostahili n.k.
Jaribuni kuinua post zake zilizopita
Nchi zote zinazofuata mfumo wa communism/Marxism-Leninism lazima ziwe na idara za Usalama wa ndani ya nchi. Kwa mfano Ujerumani mashariki walikuwa na idara inaitwa Stasi ambayo ilikuwa na mafaili na kusikiliza mawasiliano ya simu ya kila raia.
Fuatilia nyuzi za ben saanane wakati analalamika humu ndio utamfahamu huyu muuwajiMkuu unamjua huyu aliyeweka post au unajisemea semea tu.! Mambo ya Ben iachie mamlaka husika
Mamlaka gani?Mkuu unamjua huyu aliyeweka post au unajisemea semea tu.! Mambo ya Ben iachie mamlaka husika
Tunakuvuruga tuka kumwage kama zege la chumaAcha Nchi Ya Asali Na Maziwa
Iende Mbele!!
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi