Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

Securitate
-In the 1980s, the Securitate launched a massive campaign to stamp out dissent in Romania, manipulating the country's population with vicious rumors (such as supposed contacts with Western intelligence agencies), machinations, frameups, public denunciations, encouraging conflict between segments of the population, public humiliation of dissidents, toughened censorship and the repression of even the smallest gestures of independence by intellectuals.
-Often the term "intellectual" was used by the Securitate to describe dissidents with higher education, such as college and university students, writers, directors and scientists who opposed the philosophy of the Romanian Communist Party.
-Assassinations were also used to silence dissent, such as the attempt to kill high-ranking defector Ion Mihai Pacepa, who received two death sentences from Romania in 1978, and on whose head Ceaușescu decreed a bounty of two million US dollars. Yasser Arafat and Muammar al-Gaddafi each added one more million dollars to the reward. In the 1980s, Securitate officials allegedly hired Carlos the Jackal to assassinate Pacepa.
-Forced entry into homes and offices and the planting of microphones was another tactic the Securitate used to extract information from the general population. Telephone conversations were routinely monitored, and all internal and international fax and telex communications were intercepted.
-In August 1977, when the Jiu Valley coal miners' unions went on strike, several leaders died prematurely, and it was later discovered that Securitate doctors had subjected them to five-minute chest X-rays in an attempt to have them develop cancer.
-After birth rates fell, Securitate agents were placed in gynecological wards while regular pregnancy tests were made mandatory for women of child-bearing age, with severe penalties for anyone who was found to have terminated a pregnancy.
 
Ulichopost hakieleweki
Concept inakuja afu inakata
 
wewe ulivyokuwa na nafasi huko ulimshughulikia Ben saanane sasa hivi wamekutema unakuja kulia humu kwanza tueleze ulipo mwili wa Ben ndio ulete hizi longolongo zako
Sina mahusiano na issue ya Ben. Sema mm nauwezo wa ajabu niuwezo niliozaliwa nao tena najiogopa na kuwahurumia wanao nigusa.
 
Ipo story moja ktk Bible story ina muhusu nabii Mmoja alie Kuwa upande wa Israel. Nabii huyu alitisha Sana nchi maadui na serikali. Alikuwa akisiki kila kinacho endelea ktk nchi za jirani na lakutisha zaidi alikuwa akisikia kila mipango ya Ikulu na akajibu Kwa kutuma ujumbe siku Moja mfalme akauliza hivi ni Nani anatoa Siri zake wakamwambia ni Yule MTU wa Mungu anaye ishi ktk Milima ilee. Hapo ndipo mfalme akatuma majeshi yake kumkamata Una ambiwa kila kikoSi kikienda hakirudi. Na wala walipo enda haijulikani. Ndipo wakashituka nakumuomba Yule nabii ashuke ktk Milima. Hata leo Manabii wapo.
 
Alishiriki uovu dhidi ya Ben saanane
Alaa, basi anahitaji kuonana na Psychiatrist. Wenzetu watu wanaohusika na matukio ya kuhitimisha maisha ya wenzao huwa wanakuwa wanapangiwa kuonwa na wataalamu wa afya za akili kila baada ya muda fulani hasa wale ambao ni active ili wasi 'break'

Sio jambo rahisi kuhitimisha maisha ya binadamu, ni mzigo mkubwa kwa akili, unless wale 'cold blooded killers' hao ni kesi maalum maana wanakuwa kama wanyama tayari
 
Viongozi wanaojuwa kwamba ni waovu hutumia rasilimali za nchi kujihakikishia usalama kwa kuwa wamejitengezea maadui wengi. Viongozi wa jinsi hii huwa hawana vision au plan ya maendeleo ya nchi. Huwa hawaamini hata vivuli vyao! Hata hao wanaoitwa 'usalama wa taifa' hugeuzwa kuwa usalama wa mtawala na kuliacha taifa likiangamia! Kibaya zaidi ni kwamba wanafanya haya kwa kutumia kodi zetu. Wanaolipa kodi ndio hugeuka kuwa maadui wa mtawala!
 
Naamini kaandika akiwa na haraka au hajatulia sana. Mwenyewe sijazoea mwandiko wake ukiwa hivi mzee wa Dstv
 
We raia unamfunza nani kufanya kazi .ukiona nchi ipo salama jua kuna wanaume zako wanakesha wewe tulia uhudumiwe
 
Iviiii ee kumbe ndio maana yule kijana mtu mzima alianza kumfokea kijana wa watu pale bar kuwa anawafuatilia na akamwambie aliyemtuma wamemjua huku kijana akiwa haelewi chanzo cha hayo yote akabaki kushangaa tu.
 

Ni hatari Sana...

Wana usalama kuegemea na kuendeshwa na wanasiasa...

Wana usalama kutegemea kupewa uteuzi Kama fadhira za kisiasa...

Wana usalama kutekeleza au kufanya uhalifu wa kisiasa...

Wana usalama kuwa na kadi ya chama tawala Cha kisiasa...

Upatikanaji wa kazi kwa Wana usalama kwa njia za upendeleo...

Naongelea Wana usalama wa visiwa vya Caribbean.
 
Ukweli ni kwamba Tumain El hajui kuandika vuzuri . fuatilia nyuzi zake zote hazina art nzuri ya uandishi. Any way uandishi pia ni taaluma.
 
Mkuu unamjua huyu aliyeweka post au unajisemea semea tu.! Mambo ya Ben iachie mamlaka husika
Na wewe pia hatukujui. who knows... wewe na yeye huenda mkawa na ajenda moja. Kwa sasa nchi hii wamewekwa vipenyo kila kona kulinda ego na matakwa ya mtawala tu! Ila siku ya kushuka chini alioweka muumba hata mmbu anaweza kutumiwa kukushusha hata kama utakuwa na mizinga! Utashuka tu!
 
Umetumwa kutoka Kenya si ndio acha upuuzi kaka,usipende kututisha Watanzania watishe wakenya wenzako mpuuzi mmoja wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…