ndugu yangu mapenzi ni sawa na katiba ya nchi yani ni mapana sana,hivyo usi judge kwa vitu vidogo kama hivyo badala yake chukua hatua katika kuimarisha uhusiano wako.>atapunguza mahaba na wewe,sina maana ya ngono namaanisha mambo ya kimapenzi mfano kukujali,kukuheshimu na kukuthamini..
>anakua mgumu kupokea simu yako,hata akipokea hazungumzi maneno ya mahaba kama zamani..
>ukimwambia unampenda atakujibu asante tofauti na zamani..
>message zako hajibu hata akijibu itakua kwa mkato sana..
>anaonekana hana msisimko na wewe atakua mzito hata kuachia tabasamu akizungumza na wewe..
>hakuamini tena..
>hakufuatilii sana,mara nyingi anaonekana mwenye mawazo mengi akiwa na wewe..
>hafurahii anapokua na wewe hata uchangamfu wake unapungua..
ila kama wewe bado unampenda inauma sana! kuchokwa kubaya sana purple!
Mc Tilly Chizenga kabla hujamjudge mtu jifunze kuuliza kwanza!natumia mobile version na kwenye simu hakuna kitufe cha like sasa kosa langu ni nini?nimegundua tatizo lako kuu Purple!wewe unapenda kupewa tuuu kutoa hutoi!ona hata hapa jf umepewa likes 207 lakini hujatoa hata like 1!this reflect your habits in your relationship!badilika sasa!anza sasa hivi kwa kugonga like post hii kisha ukirudi kwa mpenzio na wewe nenda katoe unayopenda kufanyiwa
ndugu yangu mapenzi ni sawa na katiba ya nchi yani ni mapana sana,hivyo usi judge kwa vitu vidogo kama hivyo badala yake chukua hatua katika kuimarisha uhusiano wako.