purple,nitakuwa nime-ku-miss-judge only if ktk mahusiano yako unafanya hayo niliyodhani hufanyi,then i say am sorry
kutumia simu,ni point isiyo na mashiko,wenzako tunatumia sana simu pengine kuliko wewe,lakini tukiona like zimeingia kama 10 tunatafuta pc,tunatupia japo ka-like kamoja kaku-balance tu mahusiano....kujali au ku-care is a two way action,kama mawasiliano!
kwa mara nyingine,samahani kama nimekukwaza,nilidhani nakusaidia maana niliona post yako imekaa kama personal experience!nikajua ushachokwa tayari!
Na dalilo za wewe kumchoka yeye ni hizi:
>kutotoka nae kwny majumba ya starehe
>kutopenda kuongozana nae
>kumgombeza mbele ya watoto au watu wanaomheshimu
>kutomwachia hela ya matumiz etc.
>atapunguza mahaba na wewe,sina maana ya ngono namaanisha mambo ya kimapenzi mfano kukujali,kukuheshimu na kukuthamini..
>anakua mgumu kupokea simu yako,hata akipokea hazungumzi maneno ya mahaba kama zamani..
>ukimwambia unampenda atakujibu asante tofauti na zamani..
>message zako hajibu hata akijibu itakua kwa mkato sana..
>anaonekana hana msisimko na wewe atakua mzito hata kuachia tabasamu akizungumza na wewe..
>hakuamini tena..
>hakufuatilii sana,mara nyingi anaonekana mwenye mawazo mengi akiwa na wewe..
>hafurahii anapokua na wewe hata uchangamfu wake unapungua..