Ukiona kijana msela anafanya haya mambo jua huyo kuoa ni majaliwa ya Mungu

Kama mayai ya kukaanga na mkate, tambi, kama una rice cooker hata wali unachemsha tu fastaa....

Weekend unapika hata nyama, maini, kuku, mboga za mwakani, ndizi, itategemea kama dem uliempanga Atawahi kuja
 
Ukishamaliza kupika mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha viwili then ukimaliza unaoga unamuitia bodaboda huyooo anasepa zake..., hapo inakuwa ni mida ya saa moja moja jioni, unaenda kuzugazuga kwa washkaji huku unampanga demu mwengine, then by saa 3 anatia timu mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha vitatu then unalala ukistuka.....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] it's monday unawahi kibaruani
 
Jibu basi
Kwa mtizamo wa kibinadamu kila ndoa ni mpango wa Mungu ila ukiingia kwenye mambo ya kiroho yasemekana yule mwovu atia mkono katika baadhi ya ndoa.
Ndio maana nikauliza kuna mtu aowaye kwa majaliwa ya Shetani?
Kama una elimu kuhusu haya mambo waweza nielimisha madame.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishamaliza kupika mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha viwili then ukimaliza unaoga unamuitia bodaboda huyooo anasepa zake..., hapo inakuwa ni mida ya saa moja moja jioni, unaenda kuzugazuga kwa washkaji huku unampanga demu mwengine, then by saa 3 anatia timu mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha vitatu then unalala ukistuka.....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] it's monday unawahi kibaruani
 
Rais Magufuli endelea kuwanyoosha mpaka wasahau kama kuna uchaguzi 2020, kwa maana watu wamekosa kazi mpaka wanaona ni bora waandike matope 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom