Ndio kwani kila ndoa inayofungwa ni mapenzi ya Mungu?Kwani kuna mtu anaoa kwa majaliwa ya shetani?
Sisi mabaharia hatupiki bhana popote kambi
Ukishamaliza kupika mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha viwili then ukimaliza unaoga unamuitia bodaboda huyooo anasepa zake..., hapo inakuwa ni mida ya saa moja moja jioni, unaenda kuzugazuga kwa washkaji huku unampanga demu mwengine, then by saa 3 anatia timu mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha vitatu then unalala ukistuka.....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] it's monday unawahi kibaruaniKama mayai ya kukaanga na mkate, tambi, kama una rice cooker hata wali unachemsha tu fastaa....
Weekend unapika hata nyama, maini, kuku, mboga za mwakani, ndizi, itategemea kama dem uliempanga Atawahi kuja
Mbona wanitia majaribuni?Ndio kwani kila ndoa inayofungwa ni mapenzi ya Mungu?
Kwani kuna mtu anaoa kwa majaliwa ya shetani?
Kwa mtizamo wa kibinadamu kila ndoa ni mpango wa Mungu ila ukiingia kwenye mambo ya kiroho yasemekana yule mwovu atia mkono katika baadhi ya ndoa.Jibu basi
Ukishamaliza kupika mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha viwili then ukimaliza unaoga unamuitia bodaboda huyooo anasepa zake..., hapo inakuwa ni mida ya saa moja moja jioni, unaenda kuzugazuga kwa washkaji huku unampanga demu mwengine, then by saa 3 anatia timu mnakula mnapunzika kidogo unamuwasha vitatu then unalala ukistuka.....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] it's monday unawahi kibaruani
Hivyo unakubali?Nije nipike ule, ukishiba umtafune na mpishi?[emoji28]