Ukiona kinaelea kimeundwa

marhabaa....marhabaa.....usijali radhi yako imepokelewa. Sweetie hebu teta na Canta anatumia kinywaji gani.....eeh

JISIKIE nyumbani
Haaaa haaaa,kaka mkubwa inabidi tu ukirimu ww coz big sisy yuko kitchen nipe tu km hiyo hapo kwenye avatara nikate kiu lol!
 
Haaaa haaaa,kaka mkubwa inabidi tu ukirimu ww coz big sisy yuko kitchen nipe tu km hiyo hapo kwenye avatara nikate kiu lol!

hahahaa..kumbe umemeshamaliza chuo Kantalamba.....nilidhani bado...ebu ngoja nichungulie kwen friji kwanza.....dada yako ananiambia bado mambo mazuri ila utakunywa moja tu usije ukazimika sawa?

baada ya kusema hayo, na kupiga funda, ukamsaidie dada yako jikoni....leo naona mapishi si mchezo....sawa eeh
 
BAK...........naweza kukupa contacts zake....πŸ™‚ πŸ™‚

Dah! Utakuwa umefanya la maana sana hahahahaha lol!....niwekee kule kwenye PM πŸ™‚πŸ™‚...Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako mkubwa sana πŸ™‚πŸ™‚

Ubarikiwe sana

Siku na kazi njema
 
Dah! Utakuwa umefanya la maana sana hahahahaha lol!....niwekee kule kwenye PM πŸ™‚πŸ™‚...Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako mkubwa sana πŸ™‚πŸ™‚

Ubarikiwe sana

Siku na kazi njema

Usijali BAK............check your PM. All the best kwenye mchakato......LOL...πŸ™‚
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…