Elections 2010 Ukiona kwa Michuzi na Mjengwa kimya, jua mambo magumu CCM

Elections 2010 Ukiona kwa Michuzi na Mjengwa kimya, jua mambo magumu CCM

Joined
Jan 16, 2007
Posts
721
Reaction score
178
ANKAL NA mJENGWA UWA WA KWANZA KWA BREAKING NEWS CCM INAPOFANYA VIZURI KIMYA CHAO INAONEKANA CCM MAMBO SIO SHWALI.
 
Siku hizi nimeacha kuangalia pcha za michuzi, mchakachuaji No 1
 
Hata mimi nimeacha kuangalia michuzi siku nyingi. KIMYAAAAA.
 
Mjengwa siku hizi anajifanya Masiha


Maggid Mjengwa
Nimepiga kura Nyalumbu, Kilolo, Iringa. Niliongozana na wana wangu. Hali ilikuwa ni ya utulivu mkubwa. Kituo changu kilikuwa na waliojiandikisha 394. Kubwa kabisa lililonigusa ni pale Mama mtu mzima aliyehitaji msaada wangu ili aweze kupiga kura. Hakujua kusoma na kuandika. Aliulizwa kama anahitaji msaada wa mtu anayemwamini. Alinigeukia, akaniambia; " Mwanangu njoo unisaidie". Alikuwa akiangalia picha na rangi. Kazi yangu ikawa kumsomea na kumtilia tiki. Sitasahau, na naliona jukumu lililo mbele yetu.
 
Pengine Ankal bado anachuja comments ili achakachue zote zinazosakama CCM. Naona huwa anatumia muda mrefu kuchekecha makomenti yote yale na kuamua ipi inapigia debe CCM aibandike na zingine zote zenye mawazo na hoja mbadala azikatae. Alianza vizuri sana lakini sasa asipokuwa mwangalifu blogu itamfia!!!
 
wameshikwa pumbu hao jamani waacheni....Michuzi na Maggid wote watoto wa KIWETE
 
Damn right, wote waganga njaa hao na sasa wamejificha, including kudadek lol
 
Kesho watakuja na habari mpya kama vile kulikuwa hakuna kampeni wala uchaguzi. Maggid kaendelee kunywa chai na chapati ndio maisha uliyozoea kesho utuletee picha hapa umekunywa chai vikombe vingapi kwa kukuna kichwa maana huamini matokeo wewe kwako kama njozi vile ya mchana.. hahahhahah kitaeleweka tu mwaka huu
 
mwaka huu ni wetu,walete haoooooooo........wezi wakubwa hata wakishinda urais sisi tutaridhika na wabunge na majimboni.......hahaha mwaka huu wetu hata iweje.....CHADEMA JUU
 
ANKaL na MJENGWA walidhano wao ni sauti za UMMA.
Wakuu kazi iliyokubwa mbele yetu ni kulinda matokeo maana kuna dalili mbaya sana. Nilimwona leo SHIMBO kwenye kituo changu cha kura alikuwa hatulii anahangaika kama kuku wa sikukukuu.

 
Nimepigiwa na msimamizi wa ARUSHA mjini ambaye ni kaka yangu. anasema kwamba LEMA ameshapata ubunge. na slaa yupo mbali sana kwa matokeo. Anamalizia kujumiasha matokeo anipe tarakimu
 
Back
Top Bottom