EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,325 Nov 1, 2010 #21 kusema kweli Michuzi atakuwa amelet wasomaji wake down. Hili ni tukio la kihistoria na linatokea mara moja kila baada ya miaka mitano. Ni noma
kusema kweli Michuzi atakuwa amelet wasomaji wake down. Hili ni tukio la kihistoria na linatokea mara moja kila baada ya miaka mitano. Ni noma
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Nov 1, 2010 #22 JEYKEYWAUKWELI said: Michuzi anatangaza akiwa 100% sure soon JK atashinda kwa 80% Click to expand... acha kuvuta bangi ya pakistan na afghanistan itakuharibu akili zaidi!
JEYKEYWAUKWELI said: Michuzi anatangaza akiwa 100% sure soon JK atashinda kwa 80% Click to expand... acha kuvuta bangi ya pakistan na afghanistan itakuharibu akili zaidi!
Amigo Senior Member Joined Mar 7, 2009 Posts 150 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #23 Michuzi kashafulia tu jinsi alivyo kuwa anabebwa na muuza sura na kufanya Blog yake kuwa moja ya source nzuri ya habari lakini yeye mwenyewe alionyesha wazi alivyo kua anachakachua mambo watu ndio kuipotezea Blog yake. JEYKEYWAUKWELI said: Michuzi anatangaza akiwa 100% sure soon JK atashinda kwa 80% Click to expand...
Michuzi kashafulia tu jinsi alivyo kuwa anabebwa na muuza sura na kufanya Blog yake kuwa moja ya source nzuri ya habari lakini yeye mwenyewe alionyesha wazi alivyo kua anachakachua mambo watu ndio kuipotezea Blog yake. JEYKEYWAUKWELI said: Michuzi anatangaza akiwa 100% sure soon JK atashinda kwa 80% Click to expand...