Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
[MENTION]Ruta, kauga and kigarama mmenifanya nisahau mengi niwaze zenu fikira ambazo najiuliza huwa mnawezaje kuyapata haya mashairi? binafsi sijui hata kutunga kawimbo ka kumbembeleza mtoto u can imagine jins ambavyo nawafeel kwa haya mashairi. keep it up
RUTA ilike u.. yaan ww hdari sana,, unajua kupangilia mistari. NA watu wanasema MUOGOPE MWANAADAMU KWA AKILI YAKE USIOGOPE MANENO YAKE,, kama ushair wako kuwa hujui mtu kilichomo moyon mwake anawaza nn, hongera mkuu mm nmekukubali
Hukumbuki ulituletea Uzi wenye kibwagizo hicho ? Ulipoweka Red ?
Au nime'confuse mimi ? Hukua wewe ?
Au mkuu ukishatoa Uzi , hukumbuki nyuzi zilizopita?Last edited by Judgement; Yesterday at 11:41.
Mr Rocky you really rock me with this chit..........thanks