Ukiona mke wako anakudharau jua tu haumfikishi kileleni

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao.

Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu kwamba kuna sehemu as a man unakosea.

Mwanamke hata umlishe kuku kila siku na kumpatia pesa kadri anavyohitaji kama kitandani ni zero lazima tu atakudharau.

Kama kula hata kwao alikua anakula na kama kuhudumiwa mahitaji yake ya hapa na pale alikua na uwezo wa kuvipata toka kwa wazazi wake, mpaka anakubali kuolewa na wewe tafsiri yake ni kwamba kuna kitu alikua hawezi pewa na wazazi wake na kitu hicho si kingine bali no tendo pa ndoa.

Mwanamke ili awe na furaha na amani kwenye nafsi yake anahitaji kuridhishwa kwenye ulimwengu wa 6×6 na si vinginevyo.

Hata kama huna uwezo wa kwenda round tatu au nne jitahidi basi hata hiyo moja unayokwenda isiwe kama kuku wanavyokutana yani dakika moja umemaliza, kwa mwanaume rijali lazima ujue namna ya kuzuia bao lisitoks haraka na wewe ndo uwe muamuzi wa kuruhusu bao litoke au lisitoke mpaka ule muda utakaopenda wewe na yote hii unatakiwa ufanye ili kuhakikisha mwanamke anaridhika au anamaliza kabla yako.

Tuwape pesa na kuwahudumia ilanpia tukumbuke nao wanahitaji kuridhiswa kitandani kinyume cha hapo kila siku tutajikuta tunalalamika kuchapiwa, kuchapiwa hakuangalii una pesa au huna mana unaweza ukawa unamtimizia mke wako mahitaji yake yote lakini akaenda kuliwa na msukuma mkokoteni au bodaboda.Ukimridhisha mwanamke wako katika tendo la ndoa lazima tu atakuheshimu, sio unampa tu pesa na mahitaji mengine wakati kitandani ni sifuri.

Niwatakie mapumziko mema na familia.
 
Kula mihogo mibichi asubuhi 6 na mchana 6 na jioni 6...utaleta mrejesho kama hawajakukimbia
 
1720791420950.jpg
 
Tatizo mnajifanya mnawajua sana.

Kuna jirqni yangu alikua analeta hzo pigo za kukamia shoo kutwa kutupigia makelele usiku lkn wapi demu still alikua analeta dharau, akaanza kuchepuka na mwisho akasepa home.

Muhumu ni kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao.

Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu kwamba kuna sehemu as a man unakosea.

Mwanamke hata umlishe kuku kila siku na kumpatia pesa kadri anavyohitaji kama kitandani ni zero lazima tu atakudharau.

Kama kula hata kwao alikua anakula na kama kuhudumiwa mahitaji yake ya hapa na pale alikua na uwezo wa kuvipata toka kwa wazazi wake, mpaka anakubali kuolewa na wewe tafsiri yake ni kwamba kuna kitu alikua hawezi pewa na wazazi wake na kitu hicho si kingine bali no tendo pa ndoa.

Mwanamke ili awe na furaha na amani kwenye nafsi yake anahitaji kuridhishwa kwenye ulimwengu wa 6×6 na si vinginevyo.

Hata kama huna uwezo wa kwenda round tatu au nne jitahidi basi hata hiyo moja unayokwenda isiwe kama kuku wanavyokutana yani dakika moja umemaliza, kwa mwanaume rijali lazima ujue namna ya kuzuia bao lisitoks haraka na wewe ndo uwe muamuzi wa kuruhusu bao litoke au lisitoke mpaka ule muda utakaopenda wewe na yote hii unatakiwa ufanye ili kuhakikisha mwanamke anaridhika au anamaliza kabla yako.

Tuwape pesa na kuwahudumia ilanpia tukumbuke nao wanahitaji kuridhiswa kitandani kinyume cha hapo kila siku tutajikuta tunalalamika kuchapiwa, kuchapiwa hakuangalii una pesa au huna mana unaweza ukawa unamtimizia mke wako mahitaji yake yote lakini akaenda kuliwa na msukuma mkokoteni au bodaboda.Ukimridhisha mwanamke wako katika tendo la ndoa lazima tu atakuheshimu, sio unampa tu pesa na mahitaji mengine wakati kitandani ni sifuri.

Niwatakie mapumziko mema na familia.
AKATOM..WE HUKO.
 
Back
Top Bottom