Ukiona mke wako anakudharau jua tu haumfikishi kileleni

Wakati unajinyima raha kwa kujizuia usimwage yeye anajinyima raha gani? Wakati unakula miogo mibichi yeye anakula nini? Wakati unakunywa viagra yeye anakunywa dawa gani? Wakati unapaka vumbi la kongo yeye anapaka nini?. Wanawake mnawa-overate sana, sehemu ambayo mwanamke anapaswa kuwajibika muache awajibike yeye mwenyewe. Vijana acheni kuwa ma-simp.
 
Umalaya sio mzuri asee
 
Yaani muda wote unawaza ngono tu as if inashibisha. Si angalau ungebuni namna ya kuboresha kazi na kipato chako? Kwani usipomfikisha mke wako kileleni utakufa?
 
Kufika kileleni ni swala kisaiklogia zaidi,,unakuta mwanamke ana stress za madeni kibao unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…