Ukiona Mkeo / Demu wako anapenda sana Kupanda Pikipiki ( BodaBoda ) jua imekula Kwako na UKIMWI hauko mbali Kukufikia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jamaa una chembechembe za uhaya

Hivi kumbe Tanzania bado tuna Ukabila ambao Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliupigia sana Kelele na Kuukataza Kuendelezwa?
 
Muoneni huyu matako eti ukatae mbunye,mi Nampa na chenji kabisa

Basi msilalamike kuwa wanawake wanawalazimisha, Ni kuwa mnataka.


Halafu kuwa na muungwana kisa Cha kunitukana ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…