Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Wafujaji wa pesa wanatumia magari ya starehe kadri watakavyo
 
Hayo ni mahari ya shirika la reli(TRC)

Yalikuwepo kuanzia RAA, RAB(Zipo chache bado zinadunda) na saivi nyingine ni RAC
Wakuu wa wilaya wanatumia gari gani mkuu?
RAC kuna mtu aliniambia ni gari ya mkuu wa wilaya.
 
Wakuu wa wilaya wanatumia gari gani mkuu?
RAC kuna mtu aliniambia ni gari ya mkuu wa wilaya.
Mkuu wa wilaya anatumia ST(STK....STJ...STL nk) sana sana wengine wanatumiaga (wnaazima???) Za miradi DFP.....hata kipindi fulani nimemuona Mkuu wa Mkoa wa Dodoma muda mrefu anatumia DFPA mara nyingi huwa wanafanya hivyo kama ile yakwake inashida
 
Je skj ni wapi
Wpi
 
Umesahau magari ya railways namba zake Ni kijani halafu RAB au RAC
Kifure chake Railway Asset A or B or C then namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…