Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Jee wale wa Geti jeusi?
 
Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi
 
Na haya utayakuta mengi sana kwenye mabaa, madanguro na sehemu za starehe mida ya usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…