Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

STL,STJ na STK hizo abbreviations Nini maana yake
 
Leo katika Bajeti ya Serikali Waziri mpango amesema kutakuwa na Special number kwa magari binafsi, sasa je? Itahusisha magari mapya au na yale ambayo yameshasajiliwa,naomba kueleweshwa kidogo
 
Wale mnaopenda kujifunza mambo ya usalama wa taifa hii nayo ni elimu tosha.
Lazma ujue magari ya wakubwa wa nchi
 
Sio kweli magari ya ikulu,waziri mkuu,makamu wa Raisi,police,JWTZ Yana namba nyingi zaidi ya ulizotaja
 
... pia:-

1. Baadhi ya magari yana majina ya watu mfano number plate imeandikwa "MO"; kwa maombi maalumu neno utakalochagua linaweza kuwekwa kwenye plate number ila ada yake sio ya kitoto usijaribu unless una mpunga wa maana.

2. Kuna mengine unakuta yana maandishi ya ajabu ajabu mafano "WS KTL 056 B" baadhi ya defender sijajua yana maanisha nini. By the way hayo manamba ni marefu sana na yasiyo rahisi kukaririka kwa urahisi. Mamlaka husika ziangalie hili yakisababisha ajali sio rahisi kujulikana.

3. Zinazoanza na BU... = Burundi; RA... = Rwanda (except RAC na number plate ya kijani ni za TRC); K... = Kenya. Sijajua za Mozambique; South Afrika; Zambia; Malawi, n.k. I mean EAC na SADC ambayo ni rahisi kuonekana katika ardhi ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…