Ukiona mtu anapenda kupost picha kwenye media na kujisema ana furaha,jua hiyo kinyume chake ndio kweli

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimekuwa nikifuatilia mhamasishaji wa timu moja aliyepachikwa jina na waajiri wake la msukule kila mara akipost kuwa eti ana furaha.

Kwa ujumla mtu mwenye kitu huwa mara chache sana kujaribu kuwatangazia watu kuwa anacho.Mfano ukikuta mtu anasema "nina hela mimi" ujue hizo hela hana ama anabahatisha tu.Watu wenye pesa za kweli huwa hawajitangazi isipokuwa pesa yenyewe inasema tu.Au mtu anajisema mi mwanaume na wakati tunamuona ni mwanaume kweli,basi ujue kuna sehemu ana shida ya kumkamilisha kama mwanaume kweli.Wanaume wa kweli hawana sababu ya kuwakumbusha watu kuwa wao ni wanaume.

Kwa mujibu wa utopolo,wao wanaamini Simba ilifanya vizuri kwa sababu za kishirikina na kumtumia waliyemwita "msukule"Sina uhakika iwapo utopolo walikuwa wanajua muziki uliokuwa pale Simba.Chama,Luis n.k hadi wanafikia kuamini zaidi katika ushirikina.
Hizi imani zipo usukumani sana.Kuna watu wanaomba hata nywele tu za albino ili watengenezewe mafanikio.Sasa utopolo wameonesha kuwa kumchukua " msukule" ni kwa sababu hiyo zaidi kuliko ya kuuza jezi.

Huyu anayepost ana furaha,anajua jambo hilo na lazima moyoni ana umia sana.Anajaribu kulazimisha furaha ili awaoneshe Simba hajapoteza.
Mimi binafsi nampa pole sana kwa kuwa najua maumivu ya kuitwa msukule yalivyo makubwa na watu unaosema wanakupenda
 
Kazi yake inaruhusu kupost picha hata kila dakia ili aipromote timu na biashara za mwajiri wake .Manara ameeleza vitu vingi Sana hasa kunyanyasika na mwajiri wake wa zamani iko hivi unaweza penda Sana lakini ikafika wakati uliyemoebda Hana maana kwako na matendo anayokuonyesha ukapiga moyo konde ukasahau kabisa ukaenda kwingine ambapo hata ulikuwa upategemei ukapata Furaha Sana na Wala usijutie chochote .Kwa mujibu wa Manara anakwambia hata alivyokuwa anasafiri na timu Ni yeye peke yk alikuwa anajitegemea kwa kila kitu kuanzia malazi mpaka chakula .Ki ufupi wengi wamemwelewa na wengine hawajamwelewa Ila kufanya kazi na wahindi inataka moyo mkuu kwa wale wote walio fanya kazi na wahindi wanajua wahindi hata wasome vp Ulaya tabia zao hazibadiliki kabisa .Hata kufanya nao tu biashara Ni ngumu mno hasa ukienda madukani kwao mteja unafokewa lakini wakija dukani kwa mbongo wanashika kila kitu kwa dharau hawanunui Bei zao ndogo Ni ndogo na dharau juu.Kwa hiyo Manara asilaumiwe Sana hata Kama anaipenda Simba manyanyaso yalikuwa makubwa lazima hujali masilahi ya mtu na utu wa mtu .Kuhusu majina anayoitwa huo Ni utani wa kimpira tu na inanigesha utani wa jadi kwa anajua utani huwa una maneno makali unafanana na ukweli ukiwa uunapenda Moira Sana lazima uvumilie utani wa kila aina pengine na matusi juu.
 
Hivi mnaposema "alinyanyasika", alinyanyaswa kivipi?
 
Acha kuteseka na maisha ya watu. Mradi hatumii shilingi yako relax.
 
Hiki ni Kizazi ambacho muda wote kwny social media kiko happy kinakula bata lkn in real life kina depression ya hatari.

Na kwa Manara ni swala la muda tu,hiyo depression anayojaribu kutumia nguvu kubwa kuisupress muda ukifika madhara yake yatakuwa makubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom