kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nimekuwa nikifuatilia mhamasishaji wa timu moja aliyepachikwa jina na waajiri wake la msukule kila mara akipost kuwa eti ana furaha.
Kwa ujumla mtu mwenye kitu huwa mara chache sana kujaribu kuwatangazia watu kuwa anacho.Mfano ukikuta mtu anasema "nina hela mimi" ujue hizo hela hana ama anabahatisha tu.Watu wenye pesa za kweli huwa hawajitangazi isipokuwa pesa yenyewe inasema tu.Au mtu anajisema mi mwanaume na wakati tunamuona ni mwanaume kweli,basi ujue kuna sehemu ana shida ya kumkamilisha kama mwanaume kweli.Wanaume wa kweli hawana sababu ya kuwakumbusha watu kuwa wao ni wanaume.
Kwa mujibu wa utopolo,wao wanaamini Simba ilifanya vizuri kwa sababu za kishirikina na kumtumia waliyemwita "msukule"Sina uhakika iwapo utopolo walikuwa wanajua muziki uliokuwa pale Simba.Chama,Luis n.k hadi wanafikia kuamini zaidi katika ushirikina.
Hizi imani zipo usukumani sana.Kuna watu wanaomba hata nywele tu za albino ili watengenezewe mafanikio.Sasa utopolo wameonesha kuwa kumchukua " msukule" ni kwa sababu hiyo zaidi kuliko ya kuuza jezi.
Huyu anayepost ana furaha,anajua jambo hilo na lazima moyoni ana umia sana.Anajaribu kulazimisha furaha ili awaoneshe Simba hajapoteza.
Mimi binafsi nampa pole sana kwa kuwa najua maumivu ya kuitwa msukule yalivyo makubwa na watu unaosema wanakupenda