Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ngoja naandaa vigezo vya ma pro wa JF ntaviweka hapa huenda na wewe umo.

Ha ha haaa hebu weka mkuu, isijeikawa tunapitwa na fursa, ila nna uhakika kwa vigezo vyovyote utakavyoviweka, MO11 hakosi kuwepo kwenye kikosi cha ma Pro!!
 
Jina lako la mwanzo tamka mwenyewe **** Mushi.................umepata KIKI
 
Ha ha haaa hebu weka mkuu, isijeikawa tunapitwa na fursa, ila nna uhakika kwa vigezo vyovyote utakavyoviweka, MO11 hakosi kuwepo kwenye kikosi cha ma Pro!!
Hata wewe pia vigezo unavo.. Halafu MO11 hiyo avatar yake tu ni identity tosha kabisa
 
Hiyo namba 4 hata wewe ni kati ya walengwa kwa mujibu wa title yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…