LEWANGANGUMU
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 281
- 160
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nafikiri hata wewe hapo unatafuta KIKI
Kwangu sijaona mnufaiko mpwa.... Sijui hao wengineKwanza tuanze tuanze na wewe mpwa....unanufaika vipi.....???!!
Kwangu sijaona mnufaiko mpwa.... Sijui hao wengine
Kabisa mpwa....Sawa mpwa......ngoja tuendelee kufanya upembuzi yakinifu maana inawezekana tukawa tunapishana na utajiri bila kujua.....
Mwone lachuo kwa msaada zaidNatafuta kiki apa jf
Nfanyeje wakuu
Like kabla ya kukoti. Uzi wa Le Mutuz tayari UpoMkuu habu fafanua kidogo hii habari, naona imeleta ganzi kidogo. Signature yako imezingatiwa!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Kapi hako!!!
Waow.... hebu ngoja kwanza. Ngoja nipige jaramba. Nataka nikundindindi mpaka uwe Gadnalaizd...
Nikukute without puliiiz.... nna kibaba chako. Kisipojaa tena tutapingua mahaba yetu.
Liwalo na liwe.
Kijaza shimo kinakipa hi kipokea kimiminika.... kifikishie salamu.
Kwako babu sina shaka najua kitajaa tuu weye tena mtaalam wa kujaza kwa kuchovya mkate....hehehee
For you am always without..... For you big Sam...
Salamu zako zimefika na zimepokelewa kwa bashasha nzito.
Mie na weye babu mahaba yetu hayaishi yana ahirishwa tuu.... you rock big Sam...
Na hili ndilo neno la bwana...
Sifa kwako eeh Kasie
..
Vipi umeisha pata mimbaMa pro ni watu gani?
[emoji15] [emoji15]Vipi umeisha pata mimba
[emoji13] [emoji13][emoji15] [emoji15]
Nawe pia unatafuta kiki maana katika mfano pia umetag watu1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.
2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi aonekane na yeye basi yupo na watu wamjue.
3. They always go against the trend. Unakuta thread inahusu maloveee anatokea mwehu ana comment "JK FISADI" ili mradi watu wa pay attention.
4. Wanapenda kujidai wanawafaham na wanamazoea na wale members ambao ni ma pro. Utaona tu kaandika comment halafu anajidai kum tag Nyani Ngabu, The Boss, lara 1, Bitoz, Valentina, miss chagga, faiza Fox..... Ndugu yangu wewe Id yako yenyewe ya juzi halafu unajidai eti unawafaham ma pro wa JF... unatafuta kiki.
5 Kila thread lazima acomment hata kama hana cha maana cha kuandika na haimuhusu.
6 Kama ni mwanaume basi atataka aonekane yeye Handsome boy matawi ya juu na kama ni ke basi atatafuta namna tu kwenye comment zake ajioneshe yeye wa moto na ni girl wa ukweeee, kumbe hamna kitu.
Embu ongezeeni nyingine tuwanange watafuta kiki wote wa JF....
[emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri hata wewe hapo unatafuta KIKI
Nywele zako nazipenda vibaya sana...Nawe pia unatafuta kiki maana katika mfano pia umetag watu