Ukiona mwanamke kaacha kukupenda, achana naye kabla hujaachwa

Hakuna mwanamke atakupa background yake kama ni mbaya.
 
Mkuu upo sahihi kabisa
 
Chanzo ni nyie, umemkuta mtoto wa watu unamvamia unamtongoza, anakukubali na bichwa lako km shoka.!! Baada ya muda unaanza kuleta ujuaji akikulipizia unaanza kelele
Huwa haipo hivyo, wanawake nyie ndio huwa mnaanza kuzingua.
Mkishajua mnapendwa kuna namna mnabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…