Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili.

Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye siyo wa itikadi yake.

Nawashangaa viongozi wa dini wanaoendelea kujipendekeza kwa watu kama hawa, namshangaa mzee Sumaye na umri wake anapelekwa pelekwa tu kama mzigo.

Ifike mahali vijana tuweke utu mbele. Duniani hakuna binadamu anayependezwa na kila jambo....tuvumiliane lakini chukueni taadhari hawa watu tunaowalea watakuja kutuchinja kwa kigezo cha kutawala. Tusipowakataa watazidi kuzaliwa na kuongezeka na tutafarakana. Tukatae hawa watu katili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…