Ukiona unaombwa 'service road' na mpenzi wako na ukatoa 100% hatakuoa asilani abadani

Ukiona unaombwa 'service road' na mpenzi wako na ukatoa 100% hatakuoa asilani abadani

Mwagito84

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
235
Reaction score
709
Juzi kati nilijumuika na watu wa on transit to Marriage....

Moja ya agenda ilikuwa ni wimbi la mapenzi kinyume na maumbile, nini sababu kama vijana, Tumefikaje hapa? Uzoefu wa wanaotumia hii kitu nk.

Hatimaye overview ikaja na mtizamo wa kila mwanaume ukaonesha iwe mvua au masika hakuna mwanaume anayekusudia kuingia ndoani na mwanamke anayeruhusu huo mchezo.

Hivyo ukiombwa na mtu wako hiyo huduma kuna 2 au laa, mosi anataka kujua kama ni muumini wa hiyo habari, Ukijifanya unampenda sana so unampa basi atakula huo mzigo na utakuwa umefuzu kuto kuiona ndoa kwenye miaka ya hivi karibuni.

Kila mwanaume anataka mwanamke mwenye staa ya hali ya juu kuja kuwa mama wa wanae. Ila ukimpa anaipuliza tu na utajijua mwenyewe ukimnyima unakuwa umefuzu hatua ya makundi kuelekea kwenye ndoa.........
 
Wanaume wengi wameonelea huo mchezo ndo habari ya mjini
Na wanawake wengi siku hizi tumejikuta tunatinduliwa kwa kigezo cha pesa

Wapo ambao wanandoa na wanakulana tigo ila huezi jua kwa kua ni siri yao
 
Wanaume wengi wameonelea huo mchezo ndo habari ya mjini
Na wanawake wengi siku hizi tumejikuta tunatinduliwa kwa kigezo cha pesa

Wapo ambao wanandoa na wanakulana tigo ila huezi jua kwa kua ni siri yao
Wanaume wa kolokije huko wana mashauzi ya kishamba sana.

Watu na ndoa zao wanatinduana kama kawa na maisha yana songa.
 
Back
Top Bottom