Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu, hupendwi

Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu, hupendwi

Ahahahaha
Mada ifungwe kwenye upande wa uchangiaji ili wanaoibiwa pesa wasije kujitetetea
Watu wasome Uzi tu.
 
Kwa kawaida upendo wa kweli huwa unajiendesha wenyewe hauhitaji kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu. Kuwa na hakika kuwa hupendwi[emoji174]!!
Hili nalo neno.
Siyo lazima kutumia nguvu kupenda mtu ndiyo njia pekee ya kujua hilo!

Pia uelewe kuwa ukihisi mtu kumshobokea na kumpenda sanaaa, elewa kuwa mizani ya upendo imeegemea kwake na vise veser!

Na uelewe kuwa, usiye mpenda ndiyo anakuhangaikia kukupata na kukuendea kwa sangoma na wengine kukuchomea ndumba kuosha nyota ajili ya kukupata.
 
Imenikuta hiyo mwaka jana, kuna siku nikazinduka tu kutoka usingizi mzito wa kutojitambua, nikakata minyororo ya utumwa nikamove on, sasa naiona thamani yangu.
Hicho chako ni kisa kamili mkuu, kifungulie uzi tuone namna ilivyokuwa!
 
Kuna mtu analia huko amenyimwa unyumba, aibu hizo.

Wanaume wanaoa makalio na wanawake wanaolewa wapate chakula cha bure, mwisho wa siku ni kuchokana na kuzarauliana
 
Kwa kawaida upendo wa kweli huwa unajiendesha wenyewe hauhitaji kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu. Kuwa na hakika kuwa hupendwi[emoji174]!!
Na wewe unayempenda mwenzako hakuna picha utaacha ona
 
Back
Top Bottom