Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
hahahahahaha kuna jamaa alileta mada ya kuwaelewa wanawake sijui kama hakufia msamvu yule maana umesema ukianza kuwaelewa basi ndo safari.
Anakupasua wewe kichwa ila kuna mtu anampasua yeye kichwa. hatari hatari.Wanawake pasua kichwa
Atakuwa amesha rest in peace huyo mkuu! Hahaaahahahahahaha kuna jamaa alileta mada ya kuwaelewa wanawake sijui kama hakufia msamvu yule maana umesema ukianza kuwaelewa basi ndo safari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiwaogopeshe wenzio
Karibu mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uzi uu balaa nimecheka kinoma
Mwanamke akiwa ananivulia pichu angalau Mara 4 kwa wiki na mizinga ikawa sio ya mwendo kasi tutadumu angalauKama chuppi ananivulia na miguu anaichanua namtandika fc libolo haina utata aseeeeee, ila akininyima hayo ni mengine
Mwanamke akiwa ananivulia pichu angalau Mara 4 kwa wiki na mizinga ikawa sio ya mwendo kasi tutadumu angalau
Fikiria club kama manchester united wawe na mechi mara 4 kwa wiki na mbio zote zile wachezaji wanazofanya uwanjani..Kilometres za kutosha!Mwanamke akiwa ananivulia pichu angalau Mara 4 kwa wiki na mizinga ikawa sio ya mwendo kasi tutadumu angalau
Marianah..Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
nami nasema tutawaliwe tu maana mianamke ya bongo ukiomba namba tu umeshakua atm mashine anataka akuchune mpaka ubaki mifupa tuNdicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani